Sisi hufanya nini

KAZI TUNAYOFANYA

Katika Real People, wateja wetu ndio sababu yetu kuwa katika biashara, hivyo basi mikopo yetu inaendeshwa kwa nia ya kuimarisha maisha kikamilifu. Tunaungana na wateja wetu katika safari zao za biashara kwa kuwapa mikopo. Ili kuimarisha maisha ya wanabiashara Real People inawapa wanabiashara mawaidha kuhusu ukuzaji wa biashara.

Maono na Maadili

Ono la Real People ni “ Kuimarisha maisha”

Mkopo wa kuboresha biashara

Mkopo huu unatolewa kwa watu ambao tayari wana biashara, na wanahitaji kuboresha na kupanua biashara zao.

MKOPO WA KUENDELEZA BIASHARA

Mkopo huu unatolewa kwa wanaohitaji kuongeza mzigo katika biashara kwa lengo la kupanua , pia kukidhi haja na mahitaji ya wateja wako.

Responsible finance. Sustainable futures.